Jinsi ya kujua kama charger ni fake au original

Mkuu shukran sana kwa huu uzi
hivi ukiwa unatumia sim huku ipo kwenye charge Betry inaweza kufa?
Ukitumia simu ikiwa kwenye charge unapunguza maisha ya battery. Sababu inakua battery inapata moto sana. Kma battery yako haipati moto wakati una charge basi hutakuwa na shida sana ila kma inapata moto sana unapunguza maisha yake. Battery za aina ya Lithium ion zilizopo kwenye simu zote sikuhz temperature yake ikizidi 45°C unakua unaiua mapema.
 
Uzi bomba sana!

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Shukran sana mkuu vp kuhusu USB kujua fake na original?
 
Haya material unaweza ukaandika kitabu kabisa[emoji3578].
 
Cjaelewa kabisaa naona nyotanyota huu uzi sio saizi yangu kabisa
 
racka98 hv hii charger yako inayoleta +ve results uliinunua wapi? Mana leo nmezunguka maduka yote kila chaja ntayotest inaishia 620-730mAh. Ikabidi ninunue hvo hvo mana wauzaji wenyewe wananishangaa "hv huyu anapima pima nn kwny screen yake"
 
Sina muda wa ku deal na machaja Mimi SI Bora misosi
 
racka98 hv hii charger yako inayoleta +ve results uliinunua wapi? Mana leo nmezunguka maduka yote kila chaja ntayotest inaishia 620-730mAh. Ikabidi ninunue hvo hvo mana wauzaji wenyewe wananishangaa "hv huyu anapima pima nn kwny screen yake"
Unatumia simu kutest
 
Asante kwa elimu,ngoja nipitie taratibu
 
Mzee hiyo ngozi yako unapaka mafuta kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…