Will i.a.m
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 347
- 49
njia ni rahisi ni kuangalia mda wa majeraha uliyapata kama vile kidonda na nk ni mda gani mpaka kupona kwa mfano kidonda kwa kawaida kinatakiwa kichukue siku 1 mpaka 3 kupona kama kikubwa zaidi basi ni siku 5 mpka a7 ila kama kikichukua kama siku 10 na zaidi basi ujue kinga zao zinafanaya kazi ya kupamabana ana vvu hivyo zinashindwa kupambana vyema na vvu