Jinsi ya kujua perfume origino

Jinsi ya kujua perfume origino

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
Nianze na Issay Miyake, Kouros na 212,nitajuaji ni fake na original.
Msaada tafadhali.
 
google au utube inaweza kukusaidia
 
Jaribu kutumia perfume ya kouros by Yves Saint Laurent, chupa yake ni ndogo hlf nyeupe 300ml inauzwa 205,000/=tsh pale mlimani city, ni nzuri kwa kweli, kuhusu kutambua original perfume bora u-google mm cjui
 
Jaribu kutumia perfume ya kouros by Yves Saint Laurent, chupa yake ni ndogo hlf nyesupe 300ml inauzwa 205,000/=tsh pale mlimani city, ni nzuri kwa kweli, kuhusu kutambua original perfume bora u-google mm cjui
Asante okoyoko noted.
 
Last edited by a moderator:
Jaribu kutumia perfume ya kouros by Yves Saint Laurent, chupa yake ni ndogo hlf nyeupe 300ml inauzwa 205,000/=tsh pale mlimani city, ni nzuri kwa kweli, kuhusu kutambua original perfume bora u-google mm cjui
chupa ndogo in 300ml..kubwa ina ngapi sasa?
 
download barcode scanner kwenye simu yako.....tumia hio scanner ku scan barcode itakupa full details za product yoyote kama fake haitasomeka....
Mkuu heshima tele kwako,wazo lako nitalifanyia kazi.
 
download barcode scanner kwenye simu yako.....tumia hio scanner ku scan barcode itakupa full details za product yoyote kama fake haitasomeka....
Mkuu nimeisha download na nimescan vitu vingi apa gheto, vingi namba zimesoma na nikisearch product au web, inaniletea kitu chenyewe.
Lakini kuna baadhi ya vitu nimescani na code # zimesoma, ila niki search product au web, naambiwa hazi-match, nini tafsiri yake?
 
Back
Top Bottom