kufanakupona
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 522
- 421
Njia ya kumsukumizia mwanamke mashine, naona nayo kama ina walakini, kwa sababu, hata kama ulianza kuingiza mashine ikiwa legelege, baadaye itakuwa strong ndani ya uke.nadhani uume Wangu naupima pale nikimsukumizia mashine demu!!
Hiyo procedure yako ina walakini sana!!
Kwanza itategemea Na uwingi wa mkojo wakati unakojoa!!!
Kama mkojo Ni mwingi, obviously utaruka kwenda mbali!!
Umeshawahi kuthibitisha?Viagra na mkuyati
EeeehUmeshawahi kuthibitisha?
Kivipi?Eeeeh
Jitahadharishe mapema. Viagra haifai kama una shinikizo la damu (high blood pressure). Unaweza ukafa hivi hivi tunakuangalia.Viagra na mkuyati
Viagra siyo nzuri hata kama hauumwi na chochote. Hata dawa za asili za madukani nina wasiwasi nazo, kwa sababu ya chemical wanazoweka ili zikae muda mrefu.Jitahadharishe mapema. Viagra haifai kama una shinikizo la damu (high blood pressure). Unaweza ukafa hivi hivi tunakuangalia.
Elimu kanjanja akuna uhusiano wowote hapo umedanganywa na wewe unadanganya hivyo ni wadanganyikaHATUA
-Jisaidie haja ndogo ukiwa umesimama kwa miguu, usipige hatua wala kuinua mguu.
-Baada ya kumaliza haja ndogo, hesabu hatua tatu za miguu kwenda mbele.
-Angalia mkojo wako umedondokea kwenye hatua ipi na point ngapi.
-Kokotoa hatua uliyopata kwenda asilimia. Hatua moja ina asilimia 33 na moja ya tatu (33 1/3%)
MJADALA
1: Kitu gani cha kula ili kuongeza umbali wa kutua mkojo?
2: Ongezea njia nyingine kama unazijua za kutambua uimara wa misuli ya uume.
Japo unaamini nimeleta elimu kanjanja, ila kwenye replies za hii nyuzi tutajifunza mengi. Kaa tujifunzeElimu kanjanja akuna uhusiano wowote hapo umedanganywa na wewe unadanganya hivyo ni wadanganyika
- Kegel naifananisha na uinuaji wa vyuma vizito, misuli inakuwa iko strong ukiwa umeshamiri kufanya mazoezi, ukiacha misuli inanywea, ina apply hivyo hivyo kwenye kegel. Unaichukuliaje hii?Mtoa madaa ulianza vizuri lakini kuhusu umbali wa mkojo inategemea mf ukipiga kaz yaukweeusiku asubhi mkojo hata hatua moja haufiki, njia pekee niuwezo wa kufanya firm erection only by thoughts ukishindwa hapo anza kegel exercise
Umejuaje?Japo s mwanaume Ila nahisi kunywa maji mengi labda
Kilichonipelekea kujibu hivo n kutokana Na matokeo ya ninapo kunywa maji mengi hua naenda sana haja ndogoUmejuaje?
Amekisia tu, ndiyo maana akamalizia na labda. Mimi naona unywaji maji kwa wingi unazidisha umbali wa kutua mkojo pekee na siyo kuimarisha misuli. Njia mojawapo ya kuimarisha misuli ni kegel, ila nina wasiwasi nayo, inachosha misuli, haitibu tatizo la misuli permanent.Umejuaje?
Lakini mama, kunywa sana maji mengi siyo kwamba ndiyo umbali wa kutua mkojo, unakuwa unaenda haja tu mara kwa mara. Anyway, pia kuna njia ya kujua uimara wa misuli ya mwanamke, jisaidie haja ndogo ukiwa umechuchumaa, haja yako ikichimba shimo la nchi mbili kwenda chini, basi hapo misuli yako uke wako unabana inavyotakiwa.Kilichonipelekea kujibu hivo n kutokana Na matokeo ya ninapo kunywa maji mengi hua naenda sana haja ndogo
Halafu nimeandika nahisi so Sina uhaika neno langu si sheria
Hisia zako ni hasi, huwezi kuni determine kihivyo.Nimekugundua wewe ni mchafuzi
wa mazingira,huwezi kufanya zoezi
lako hili chooni.