Samahani mkuu,ila ukitakaHisia zako ni hasi, huwezi kuni determine kihivyo.
Mh thubutuu maji tuJapo s mwanaume Ila nahisi kunywa maji mengi labda
S ili mkojo uwe mwingi ukikojoa urefuke [emoji23][emoji23]Mh thubutuu maji tu
Kwani magofu hakuna?, vichaka hakuna?, huwezi kutoka nje ya mji kidogo?Samahani mkuu,ila ukitaka
kuthibitisha nilichosema,nenda
kwenye miji inayojitambua kiusafi
afu ufanye hilo zoezi
wakikukuta uwaambie unapima misuli]
uone kama hawatakulipisha faini.
Aya asanteLakini mama, kunywa sana maji mengi siyo kwamba ndiyo umbali wa kutua mkojo, unakuwa unaenda haja tu mara kwa mara. Anyway, pia kuna njia ya kujua uimara wa misuli ya mwanamke, jisaidie haja ndogo ukiwa umechuchumaa, haja yako ikichimba shimo la nchi mbili kwenda chini, basi hapo misuli yako uke wako unabana inavyotakiwa.
Hahaha nilikua cjakupata mama fecebook11S ili mkojo uwe mwingi ukikojoa urefuke [emoji23][emoji23]
Kichaa kazini- Kegel naifananisha na uinuaji wa vyuma vizito, misuli inakuwa iko strong ukiwa umeshamiri kufanya mazoezi, ukiacha misuli inanywea, ina apply hivyo hivyo kwenye kegel. Unaichukuliaje hii?
- Kegel bila chakula chenyewe chenyewe cha kuimarisha misuli siyo sawasawa na kazi bure?
Kichaa utaonekana wewe bila kutoa facts. Toa sababu ndiyo ubeze.Kichaa kazini
umbali wa kutua mkojo uongezeke ili iweje?HATUA
-Jisaidie haja ndogo ukiwa umesimama kwa miguu, usipige hatua wala kuinua mguu.
-Baada ya kumaliza haja ndogo, hesabu hatua tatu za miguu kwenda mbele.
-Angalia mkojo wako umedondokea kwenye hatua ipi na point ngapi.
-Kokotoa hatua uliyopata kwenda asilimia. Hatua moja ina asilimia 33 na moja ya tatu (33 1/3%)
MJADALA
1: Kitu gani cha kula ili kuongeza umbali wa kutua mkojo?
2: Ongezea njia nyingine kama unazijua za kutambua uimara wa misuli ya uume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora umenielewaHahaha nilikua cjakupata mama fecebook11
Kumbe Acha na mimi ninywe ma woràaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora umenielewa
Ili uwezo wa misuli yako uongezekeumbali wa kutua mkojo uongezeke ili iweje?
nadhani uume Wangu naupima pale nikimsukumizia mashine demu!!
Hiyo procedure yako ina walakini sana!!
Kwanza itategemea Na uwingi wa mkojo wakati unakojoa!!!
Kama mkojo Ni mwingi, obviously utaruka kwenda mbali!!
Mtoa madaa ulianza vizuri lakini kuhusu umbali wa mkojo inategemea mf ukipiga kaz yaukweeusiku asubhi mkojo hata hatua moja haufiki, njia pekee niuwezo wa kufanya firm erection only by thoughts ukishindwa hapo anza kegel exercise
Elimu kanjanja akuna uhusiano wowote hapo umedanganywa na wewe unadanganya hivyo ni wadanganyika
umbali wa kutua mkojo uongezeke ili iweje?
Wengi mnaipinga hii njia kwa kuwa hamja-iprove, ni kweli kabisa umbali wa kutua mkojo ni kigezo cha misuli yako ni imara kiasi gani. Kuhakikisha fanya njia ifuatayo:Kichaa kazini
Hahahahahaa.Nawaza tu; Upo kwenye jumba bovu au kichaka Umetoa Dudu Lako kwa ajili ya majaribio ghafla unastukia jiwe LA kichwa sasa sijui Utashika Wapi!!?
Daaaah hii mitihani mingine mtuelekeze na madarasa ya kufanyia
Wengi mnaipinga hii njia kwa kuwa hamja-iprove, ni kweli kabisa umbali wa kutua mkojo ni kigezo cha misuli yako ni imara kiasi gani. Kuhakikisha fanya njia ifuatayo:
Ukiwa unakojoa kabla ya mkojo kuisha, KAZA ghafla misuli yako ya uume, utaona UMBALI wa kutua mkojo unaongezeka. Umbali wa kutua mkojo umeongezeka baada ya kuiimarisha misuli ya uume.
Mmeelewa?