kufanakupona
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 522
- 421
- Thread starter
-
- #61
Hatua za mtu ndiyo jibu, hatua zako za miguu ni directly proportional to umbali wa kutua mkojo.Kuna maji ya mvua na ya mto. Mikojo yake inatofautiana urefu. Tafiti zako zilijikita kwenye maji yapi.
🙂🙂🙂🙂Usiku je?
Mlio miijni mnaogopa kufanya hili jaribio eti mazingira, mazingira yanawatala. Tulio vijijini tunawashangaa.
HATUA
-Jisaidie haja ndogo ukiwa umesimama kwa miguu, usipige hatua wala kuinua mguu.
-Baada ya kumaliza haja ndogo, hesabu hatua tatu za miguu kwenda mbele.
-Angalia mkojo wako umedondokea kwenye hatua ipi na point ngapi.
-Kokotoa hatua uliyopata kwenda asilimia. Hatua moja ina asilimia 33 na moja ya tatu (33 1/3%)
MJADALA
1: Kitu gani cha kula ili kuongeza umbali wa kutua mkojo?
2: Ongezea njia nyingine kama unazijua za kutambua uimara wa misuli ya uume.
Kilichonipelekea kujibu hivo n kutokana Na matokeo ya ninapo kunywa maji mengi hua naenda sana haja ndogo
Halafu nimeandika nahisi so Sina uhaika neno langu si sheria
Mkuuu asanteee japo sjaelewa nipo sahihi au sipo sahihi?Kwa principle ya physics ya water pressure huko sahihi. Halafu animals (including humans) wana kitu inaitwa diaphragm ambayo inaweza kubadili pressure ya mkojo; mfano, kama unakojoa katikati ya kukojoa simamisha kupumua uone pressure ya mkojo itakavyo badilika - sasa hapo sijui issue ni ubora wa diaphragm au huko kwenye muscle za pipe. Maelezo ya huyu mleta mada sio scientific!!
Kwenye semina ya kansa ya kibovu cha mkojo kwa mwanaume tuliambia kipimo kimojawapo ni urefu wa stream kutoka ulipo simama kwa sababu tezi dume uvimba umri unavyokwenda hivyo kupunguza njia ya uume.
Mkuuu asanteee japo sjaelewa nipo sahihi au sipo sahihi?
Asante Kwa kunielewesha pia
Anha Sasa nimekupata nashukuru Kwa maelezo yako ubarikiwePicha hii ina maelezo mazuri zaidi. Sijui ukubwa wa bladder ya mkojo shape yake na position yake lakini ikiwa imejaa kisawasawa nafikiri matokeo yatakuwa kama kwenye huu mchoro.
Factor nyingine hii hapa. Nadhani uume uliosimama una njia ndogo hivyo pressure kuwa kubwa ili kusafirisha wazee wa uhai kwa speed isiyo ya kawaida, ndio maana mkojo wa asubuhi pressure yake sio mchezo au mkojo wakati uume umechachamaa. Hivyo factor hii inaweza ku-support maelezo ya mleta mada ila kipimo chake ndio chenye walakini yaani precision, na kama kuna kipimo cha aina nyingine kinachotoa majibu sawa na cha huyu bwana.
Kumbe wataalam mpo halafu mmekaa kimya muda wote huo, kuna maswali yanatutatiza hapa.Factor nyingine hii hapa. Nadhani uume uliosimama una njia ndogo hivyo pressure kuwa kubwa ili kusafirisha wazee wa uhai kwa speed isiyo ya kawaida, ndio maana mkojo wa asubuhi pressure yake sio mchezo au mkojo wakati uume umechachamaa. Hivyo factor hii inaweza ku-support maelezo ya mleta mada ila kipimo chake ndio chenye walakini yaani precision, na kama kuna kipimo cha aina nyingine kinachotoa majibu sawa na cha huyu bwana.
Mkuuu asanteee japo sjaelewa nipo sahihi au sipo sahihi?
Asante Kwa kunielewesha pia
Wow Na nilivyochangia skua Na hakika kabisa asante mkuuUpo sahihi - ujazo mkubwa pressure kubwa kwa sababu area ya njia ina-tend kuwa ndogo.
Sababu zinazo sababisha nguvu kupungua siyo misuli tu ni mambo mengi na umbali wa mkojo akuna ukweli wowote huo niupotoshaji
Ujinga mtupu!!
Hii nyuzi ina sehemu mbili, jaribio na vitu nilivyouliza vya kujadili. Kwenye jaribio mmekataa, kwa sababu mmelikataa, tuache kuzungumzia jaribio, tuje kwenye maswali niliyouliza, nataka hasa kujua JINSI YA KUONGEZA UMBALI WA KUTUA MKOJO, tuzungumzie hili.Factor nyingine hii hapa. Nadhani uume uliosimama una njia ndogo hivyo pressure kuwa kubwa ili kusafirisha wazee wa uhai kwa speed isiyo ya kawaida, ndio maana mkojo wa asubuhi pressure yake sio mchezo au mkojo wakati uume umechachamaa. Hivyo factor hii inaweza ku-support maelezo ya mleta mada ila kipimo chake ndio chenye walakini yaani precision, na kama kuna kipimo cha aina nyingine kinachotoa majibu sawa na cha huyu bwana.
inapatikana wapi hiyo na ni shilingi ngapiViagra na mkuyati
mkuu usibishe vitu usivyovijuanadhani uume Wangu naupima pale nikimsukumizia mashine demu!!
Hiyo procedure yako ina walakini sana!!
Kwanza itategemea Na uwingi wa mkojo wakati unakojoa!!!
Kama mkojo Ni mwingi, obviously utaruka kwenda mbali!!
Uongo mtupu believe memkuu usibishe vitu usivyovijua
hilo la kukojoa huku umesimama na kuangalia umbali wa mkojo ni kweli