Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Zinakuwa poa mm napendela pepsi sna sanaSafi sana , napenda kutafuna karanga na bia ya baridi pembeni 😋
Ni kweli ila mm siziamini izo mchanga mbwa ana kojolea no sipendelei kupika kwa mchangaKuna karanga nasikia wanakaanga na mchanga, ni kweli au fix?
Ukichota mchanga wa nyumbani mbwa anakuwa amekojolea saa ngapi 🤣Ni kweli ila mm siziamini izo mchanga mbwa ana kojolea no sipendelei kupika kwa mchanga
Akiweza na ufutaMkuu vp pishi la kashata ukipata muda unaweza andaa, nijifunze
Mimi nawazaga mbali tu for sure😂😂Ukichota mchanga wa nyumbani mbwa anakuwa amekojolea saa ngapi 🤣
Kashata ya nazi au ufuta?Mkuu vp pishi la kashata ukipata muda unaweza andaa, nijifunze
Upendi kuungua una kuwa na maji pembeni ya baridiAkiweza na ufuta
Naupenda
Nilijaribugi nikaungua.. vile uutengeneze ukiwa moto. Nikaachana nao
Nikipata nazi wikii nitafanyaNgoja leo nipike hizi....natamani sana kujua kupika kashata za nazi
Achana na peps baridi mkuu... Kunywa chai ya tangawizi kaliii!!Zinakuwa poa mm napendela pepsi sna sana
ya nazi, mkuuKashata ya nazi au ufuta?
Lengo la kukaanga karanga na mchanga,ni kuzuwia ili zisiungue,yani zisionyeshe ule weusi wakuungua,Kuna karanga nasikia wanakaanga na mchanga, ni kweli au fix?
Ahahah duh ukienda kupiga show showa ina kuwa ya kibebaAchana na peps baridi mkuu... Kunywa chai ya tangawizi kaliii!!