Jinsi ya kukaanga/Kupika Bagia kwa unga wa Dengu

Jinsi ya kukaanga/Kupika Bagia kwa unga wa Dengu

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
476
Wakuu kwanza samahanini,nimetafuta jukwaa la mapishi sijaliona.Naomba mtu yeyote anayejua kutengeneza bagia kwa unga wa dengu anijuze.Je unachanganya na nini na uanakorogaje,pia unasubiri muda gani ndipo uweke kwenye mafuta n.k.Please
 
jukwaa la siasa tunapika bagia badala ya kwenda bungeni..

haya ngoja waje wapishi watakujuza
 
Unatengeneza uji mzito kiasi unatwangia vitunguu swaumu Kama punje tano ivi unatwanga na kitunguu maji unatia cotmil for more test.... unatia baking powder ili ziweze kuumuka usisahau chumvi na pilipili pia Kama unakula unga nusu kilo unatosha Kama kwa ajili ya kula nyumbani tu...Kama unataka ungamzuri nenda kwenye maduka ya wahindi ....jinsi ya kupika chukua size ndogo ndogo size ya kijiko cha chai unatia kwenye mafuta na usiziache mad mrefu kwenye mafuta zinapendeza zikiwa na rangi ya njano..
 
Back
Top Bottom