Msongo wa mawazo ni hali ya mtu kuwa na mfadhaiko wa akili kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku.
Wengi wamejikuta wakikumbwa na hali hii katika nyakati tofauti. Mfano katika mapenzi au katika maisha ya kawaida.
Msongo wa mawazo una madhara makubwa na wakati mwingine humfanya mtu kuchukua maamuzi magumu.
Tuelewe kwamba hii Ni hali ambayo kila mmoja anaweza akaipitia kwa namna yake, lakini pombe sio suluhisho lake kwa huifanya akili ivurugike na mda mwingine kumkumbusha mtu kile anachokumbana nacho. Ili kukabiliana na msongo wa mawazo
Muziki unaweza kuwa ni tiba, unaweza kuta umefanya kitu lakini hifanikiwi na umekata tamaa nyimbo za hamasa zinaweza zikawa na faida kubwa katika kukufanya uwe sawa na usikate tamaa, penda kusikiliza mziki unapohisi umeshindwa na unaweza kupata nguvu kupitia muziki na kuendelea kupambana.
Changamana na watu, usipende kukaa peke yako mda mwingi tafuta mda mwingi ukae na marafiki na watu mbalimbali kwa kuanzisha mijadala ambayo utaichangia na kukufanya usahau, wakati mwingine kuchangamana na watu kutakufanya upate mawazo mbalimbali ya jinsi sahihi ya kutatua changamoto inayokukabili.
Fanya mazoezi, kwa kufanya mazoezi pia kutasaidia kukabiliana na msongo wa mawazo yapo mazoezi mbalimbali kama vile kukimbia, kuruka kamba lakini pia unaweza kwenda katika vituo vya mazoezi ili kujumuika na wengine.
Unapohisi umeshindwa na unataka upate ahueni, kaa chini, kunja miguu, fumba macho lakini vuta na kutoa pumzika kwa mara kadhaa hii itakusaidia kujiona umetua mzigo na kupata nguvu ya kufanya jambo upya.
Usikubali msongo wa mawazo uitawale akili yako, kwan madhara yake ni makubwa.

Upvote
3