HAZOLE JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 1,551 Reaction score 713 Oct 2, 2012 #1 Jamani hivi vivimbe vinaitwa sundo mnavifaamu? vimenitokea viwili miguuni. v inatokana na nini? dawa yake ni nini? nawasilisha kwa madaktari jamani
Jamani hivi vivimbe vinaitwa sundo mnavifaamu? vimenitokea viwili miguuni. v inatokana na nini? dawa yake ni nini? nawasilisha kwa madaktari jamani