Jinsi ya kukadiria kiasi cha mlo kwa kutumia mikono yako

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Chakula.JPG

Mikono yako inaweza kutumika kukadiria kiasi cha chakula unachotakiwa kula kwa mlo mmoja. Ufuatao ni muongozo wa kukadiria kiasi cha mlo kwa kutumia mikono kama kipimo:

1. Vyakula vya nafaka, mizizi na ndizi kama vile ugali, wali, viazi: Kiasi sawa na ukubwa wa ngumi moja

2. Matunda Kiasi cha matunda ni sawa na ngumi moja; mfano saizi ya kati ya chungwa, embe, kipande cha papai, tikiti-maji, au nanasi.

3. Mboga-mboga: Kiasi cha mbogamboga kiwe kingi zaidi, kadiria kiasi cha kuweza kujaa katika viganja vya mikono yote miwili. Pendelea kula zaidi mboga mboga ambazo hazina kabohaidreti kama mchicha, kabichi lettuce. Mboga zenye kabohaidreti ni

4.Vyakula vya jamii ya kunde na vile vyenye asili ya wanyama: Kiasi sawa na ukubwa wa kiganja cha mkono wako na unene uwe sawa na wa kidole kidogo

5. Mafuta: Ncha ya kidole gumba. Endapo unapendelea kunywa maziwa wakati wa mlo, hakikisha unakunywa maziwa yaliopunguzwa mafuta (low fat), kiasi kisizidi millilita 250
 
View attachment 2253950

Kiasi cha msosi wa mtu kinategemeana na mambo mengi sana ikiwemo
Jinsia
Kazi
Hali ya hewa etc
 
Ulaji wa chakula siku hizi umekuwa ni somo la sayansi. Mahesabu hadi kwenye milo. Zamani haya mahesabu hayakuwepo na watu walikuwa na afya zao.
 
Kujua kiasi na kiwango cha msosi ulichokula angalia wingi wa mzigo wako ukienda chooni( haja kubwa) pia umekwenda mara ngapi kwa siku.
 
View attachment 2253950
Mikono yako inaweza kutumika kukadiria kiasi cha chakula unachotakiwa kula kwa mlo mmoja. Ufuatao ni muongozo wa kukadiria kiasi cha mlo kwa kutumia mikono kama kipimo:

1. Vyakula vya nafaka, mizizi na ndizi kama vile ugali, wali, viazi: Kiasi sawa na ukubwa wa ngumi moja

2. Matunda Kiasi cha matunda ni sawa na ngumi moja; mfano saizi ya kati ya chungwa, embe, kipande cha papai, tikiti-maji, au nanasi.

3. Mboga-mboga: Kiasi cha mbogamboga kiwe kingi zaidi, kadiria kiasi cha kuweza kujaa katika viganja vya mikono yote miwili. Pendelea kula zaidi mboga mboga ambazo hazina kabohaidreti kama mchicha, kabichi lettuce. Mboga zenye kabohaidreti ni

4.Vyakula vya jamii ya kunde na vile vyenye asili ya wanyama: Kiasi sawa na ukubwa wa kiganja cha mkono wako na unene uwe sawa na wa kidole kidogo

5. Mafuta: Ncha ya kidole gumba. Endapo unapendelea kunywa maziwa wakati wa mlo, hakikisha unakunywa maziwa yaliopunguzwa mafuta (low fat), kiasi kisizidi millilita 250
Babu yangu alifariki akiwa na miaka 112. Alikuwa anakula nyama kilo 1½, ugali nusu kilo, parachichi 3, viazi vikuu, mboga za majani alikuwa anakula mara chache sana. Alikuwa anakunywa mbege lita 5 kila siku.... Kama angefuata haya masharti bila shaka angefikisha miaka 170 au 200
 
View attachment 2253950
Mikono yako inaweza kutumika kukadiria kiasi cha chakula unachotakiwa kula kwa mlo mmoja. Ufuatao ni muongozo wa kukadiria kiasi cha mlo kwa kutumia mikono kama kipimo:

1. Vyakula vya nafaka, mizizi na ndizi kama vile ugali, wali, viazi: Kiasi sawa na ukubwa wa ngumi moja

2. Matunda Kiasi cha matunda ni sawa na ngumi moja; mfano saizi ya kati ya chungwa, embe, kipande cha papai, tikiti-maji, au nanasi.

3. Mboga-mboga: Kiasi cha mbogamboga kiwe kingi zaidi, kadiria kiasi cha kuweza kujaa katika viganja vya mikono yote miwili. Pendelea kula zaidi mboga mboga ambazo hazina kabohaidreti kama mchicha, kabichi lettuce. Mboga zenye kabohaidreti ni

4.Vyakula vya jamii ya kunde na vile vyenye asili ya wanyama: Kiasi sawa na ukubwa wa kiganja cha mkono wako na unene uwe sawa na wa kidole kidogo

5. Mafuta: Ncha ya kidole gumba. Endapo unapendelea kunywa maziwa wakati wa mlo, hakikisha unakunywa maziwa yaliopunguzwa mafuta (low fat), kiasi kisizidi millilita 250
Kila mtu ale Kwa urefu wa kambaye
 
Back
Top Bottom