Jinsi ya kukokotoa kiasi cha fedha ya Mkopo kuwa %

hey are u sure hw dd calculate;;;;;cz other pipo wana sema 20 wengine sijapata hata siwaelewi;;;;;tel me whr do u thk can be a best place i can c what i get;;;;;;yan web gan wana changanyua hizi
 
Xpéndablè;4671907 said:
Niaje (kaka)Ze dudu, Naomba nisaidie hapa mimi nimepata 3299500 na ada ni 700000 then nina field.. Je nina% kama ngapi hapo? Plz msaada

Una 100%: 3299500-2600000=(699500/700000.100)
 
inadepend na facult mfano wa education lazima atoe na ya field ya cku 56 sh elfu kumi kwa siku....wengine mnatoa ya meal na stationary tu kama hauna field mwaka wa kwanza.....kwa wale wenye field kama edu chukua mshiko uliopata den toa ya meal,stationary na ya field na cla kila chuo hela ya stationary inafanana baadh ya vyuo private ni laki tatu na ya meal pia hazifanani cz baadh ya vyuo hawakai sana mfano mzumbe ni 1785000 kwa mwaka...kias utakachobaki nacho ndio ada utakayolipiwa xo tafuta asilimia ngapi
 
co kute mzumbe ni 1785000 meal allowance na ni tsh 7500 kwa siku ingia kila web ya chuo utaona hiyo kitu na field co kwa wote ni kwa wale ambao wanazo mfano education
 
Una 100%: 3299500-2600000=(699500/700000.100)

thanx alot mkuu.. Ila kama mm kwa pesa hyo nina 100% mbona kuna mwenzangu amenizd ana M3.4 na 2po facult moja chuo kmoja na yeye atakuwa na ngap xaxa si itakuwa imezd hata hyo 100%.. Ufafanuzi tafadhali mkuu..!
 
co kute mzumbe ni 1785000 meal allowance na ni tsh 7500 kwa siku ingia kila web ya chuo utaona hiyo kitu na field co kwa wote ni kwa wale ambao wanazo mfano education
kuna dogo ananisumbua hapa,hivi IT zina field mwaka wa kwanza mzumbe?
 
oya kijana hebu nisaidie mimi nina asilimia ngapi? nimepewa mil 3 laki 2 na 27 mia 5 fee yangu ni laki 7
 

oya niaje mkuu,tupo pamoja pale COED,BSEICT
naomba kujua toka kwako vipi umeshajua ni kiasi gani unatakiwa kulipa kama Tution fee,on top ya ile ambayo HESLB wanakulipa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…