Jinsi ya kukuza 'makalio'

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Posts
3,373
Reaction score
6,795
1. Chukua computer yako. Fungua program inaitwa Microsoft Word.
2. Chapisha neno, 'Makalio' kwenye hiyo program uliyoifungua.
3. Highlight neno ulilochapisha kwenye kibao cha Word.
4. Nenda juu kabisa ya kibao cha Word. Chagua neno liitwalo 'Font size'. Tumia hiyo kukuza makalio mpaka size unayotaka.
5. Yeah. Sasa hapo unaweza kusoma vizuri. Huhitaji tena miwani kuyaona makalio kwa kuwa sasa yana ukubwa wa kutosha.
6. Save page yako, uko huru kuiprint au kuishea na wengine kwa kutumia email na Wassap.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…