Jinsi ya kukuza mradi wa kuku wa kienyeji

Jinsi ya kukuza mradi wa kuku wa kienyeji

Edano november

New Member
Joined
Oct 13, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Wadau nilikua naomba kupewa uelewa zaidi jinsi ya kufuga kuku wa kienyeji na faida zake.....
 
Huo ni mradi ni lazima uwe na pia hata hasara pia...je ni mazingira gani unaishi..mkoa,nyumba unayoishi ili kujua mahitaji ya banda na vitendea kazi kabla ya kupata kuku wenyewe wanaohitajika...
 
Back
Top Bottom