E Edano november New Member Joined Oct 13, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Oct 14, 2014 #1 Wadau nilikua naomba kupewa uelewa zaidi jinsi ya kufuga kuku wa kienyeji na faida zake.....
D de jasson New Member Joined Oct 11, 2014 Posts 2 Reaction score 0 Oct 14, 2014 #2 Huo ni mradi ni lazima uwe na pia hata hasara pia...je ni mazingira gani unaishi..mkoa,nyumba unayoishi ili kujua mahitaji ya banda na vitendea kazi kabla ya kupata kuku wenyewe wanaohitajika...
Huo ni mradi ni lazima uwe na pia hata hasara pia...je ni mazingira gani unaishi..mkoa,nyumba unayoishi ili kujua mahitaji ya banda na vitendea kazi kabla ya kupata kuku wenyewe wanaohitajika...