Mimi nitampa dawa ya hiyo mikono kukakamaa atumie mafuta ya Zaituni kujipiga masaji mikononi na mwili mzima awe anajipakaa kwa siku mara 3 asubuhi mchana na usiku kama yupo mji wa baridi ndio yawe mafuta yake ya kila siku kujipaka na kujipiga masaji kuhusu kufa ganzi anitafute kwa wakati wake,ili niweze kumtibia maradhi yake auguwe pole.wakuu habari zenu.
Kuna shoga angu anasema ana kaka ake analalamika ana tatizo limempata.
Sasa anasema mikono yake inapata ganzi ghafla hasa viganjani mpaka hadi videle vinakakamaa.
Pia mikono nayo inakakamaa, japo kuna baridi ila anasema hapana hii imezidi, hadi anapata maumivu akitaka kukunja mikono au kuinyoosha sometimes.
Nikamwambia ngoja niuliza wana JF wanaweza mpa ushauri wa afanye nini, ale nini au atumia dawa gani kurainisha mifupa yake na kuondoa hio ganzi.
Karibuni madr na wajuzi.
asante sana mkuu, wacha takutumia number zao dm umcheck, shukrani sanaMimi nitampa dawa ya hiyo mikono kukakamaa atumie mafuta ya Zaituni kujipiga masaji mikononi na mwili mzima awe anajipakaa kwa siku mara 3 asubuhi mchana na usiku kama yupo mji wa baridi ndio yawe mafuta yake ya kila siku kujipaka na kujipiga masaji kuhusu kufa ganzi anitafute kwa wakati wake,ili niweze kumtibia maradhi yake auguwe pole.
Poleni sana,wakuu habari zenu.
Kuna shoga angu anasema ana kaka ake analalamika ana tatizo limempata.
Sasa anasema mikono yake inapata ganzi ghafla hasa viganjani mpaka hadi videle vinakakamaa.
Pia mikono nayo inakakamaa, japo kuna baridi ila anasema hapana hii imezidi, hadi anapata maumivu akitaka kukunja mikono au kuinyoosha sometimes.
Nikamwambia ngoja niuliza wana JF wanaweza mpa ushauri wa afanye nini, ale nini au atumia dawa gani kurainisha mifupa yake na kuondoa hio ganzi.
Karibuni madr na wajuzi.
asante mkuu ubarikiwe sana, wacha aone pia ili afanyie kazi, ahukrani sanaPoleni sana,
Kuna magonjwa mengi yanayoweza kusababisha dalili hizi ni vyema mkamuona daktari;
Mfano:
1. Magonjwa ya mifupa yenyewe (osteoarthritis), magonjwa
2. Systemic inflammatory diseases (kiswahili chake sikijui) - kama Rheumatoid arthritis
3. Magonjwa ya mishipa ya fahamu inaweza kuwa ya mikono au ya shingo (cervical spondylosis) inayobana mishipa ya fahamu inayoelekea mikononi na kusababisha hisia kama za kipigwa shoti za ghafla (radiculopathies)
4. Magonjwa mengineyo kama kisukari nayo yanaweza kuleta shida ya mishipa ya fahamu ya mikono na miguuni na kuleta kisia ya ganzi mikononi na miguuni (gloves and stockings sensation)
Hii ndio sababu inabidi uonane na daktari ili achambue na kujua nini kinakusumbua kwa sababu matibabu ya kila ugonjwa yapo tofauti