J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 685 Reaction score 1,124 Apr 23, 2021 #1 Linda Afya ya Moyo wako kwa kufanya yafuatayo; Dhibiti matumizi pombe na sigara Dhibiti uzito, fanya mazoezi Kula mboga za majani na matunda kwa wingi Dhibiti kiwango cha chumvi kwenye chakula Upvote 0
Linda Afya ya Moyo wako kwa kufanya yafuatayo; Dhibiti matumizi pombe na sigara Dhibiti uzito, fanya mazoezi Kula mboga za majani na matunda kwa wingi Dhibiti kiwango cha chumvi kwenye chakula
Chris wood JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 1,667 Reaction score 5,043 Apr 23, 2021 #3 Ndugu asante kwa somo zuri,hivi sisi tunao bet, tunaweza kupata magonjwa ya moyo???
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,663 Apr 23, 2021 #4 Je bangi ni sigara?