Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
Habari za mihangaiko
Kwa wale wenye uzoefu (au wajuao) wa kufunga viungo (spices) kwenye vifuko au makopo, nini kinatakiwa kifanyike kuzuia wadudu au vijidudu kujitokeza na kushambulia viungo ambavyo vimeshafungwa baada ya kukaa mda kidogo tu.
Je, kuna ingredient yoyote inaongezwa kuweza kuzuia uzaliano wa hao wadudu?
SWALI LA NYONGEZA:
Hii biashara naona kuna ambao wanaifanya je inabidi kupitia kwa mamlaka kama TBS and the likes kwenda ikapitishwe au nikutafta tu lebo yangu kuprint vifungashio na kufunga sababu ni small scale production tu?
Asante sana wapendwa kwa msaada.