Mkuu sijakuelewa. Wewe unanunua kwa ajili ya kutumia nyumbani kwako sio?Mie kwasasa sinunui yale makubwa maana yanakaa sana na kuharibika.
Nilikuwa nanunua:-
Karafuu Mfuko wa Elfu 10
Iriki Mfuko wa Elfu 12
Mdalasinini Mfuko wa Elfu 5
Binzali Nyembamba Mfuko wa Elfu 5.
Yes kwa ajili ya kupikia Chai ya Kitanga au Pilau nikiwa NYUMBANI.Mkuu sijakuelewa. Wewe unanunua kwa ajili ya kutumia nyumbani kwako sio?
OK.Ooh ok. Sawa sawa. Mimi sasa nazungumzia ile kufunga kwenye mifuko au makopo kwa ajili ya kuuza
Shirika la viwanda vidogo wanatoa mafunzo, nenda kapate shule,
Wanafundisha usindikaji wa bidhaa vyakula na mambo yote yanayohusu ujasiriamali.
TBS nenda baada ya kuona upepo wa biashara yako inakua kubwa na unahitaji kupeleka bidhaa zako kwenye maduka makubwa kama supermarkets, kwa namna yoyote ukiona bidhaa yako inawafikia wateja wengi au inamwelekeo mzuri wa kuwa kubwa katika soko/mauzo ni vizuri kuwa na certificate zote ili kuwalinda walaji.
Bidhaa zako zitapimwa bacteria na fungus mbalimbali kwa kiwango husika uki pass test utapewa certificate na maelekezo mengine uki fail unapaswa kurekebisha kilicholeta majibu mabaya kisha watafanya tena tests nyingine.
Kila la heri.
Nimejifunza kupitia wajasiriamali binafsi sio mzalishaji wala mtengenezaji, hayo ni machache niliyoelekezwa.
Wizara ya kilimo mkuu.Mkuu samahani wapi wanatoa vibali vya kusafirisha viungo vya chakula nje like karafu na mdalasini.
Wizara ya kilimo mkuu.
Vibali ni bure hamna gharama yoyote.
Ila unatakiwa uwe na vyeti vya ubora.
Na taarifa kadhaa kuhusu wewe na kampuni yako.
Ukienda wizara ya kilimo utapata utaratibu wote.
Mkuu Asante sana kwa mara nyingine. Nimeenda SIDO/VETA ya pale vingunguti tena kwa bahati nzuri nika design mpaka logo na kufanya mambo mengine mengi maana pale ofisi ziko karibu karibu nyingi kushuulikia wajasiriamaliShirika la viwanda vidogo wanatoa mafunzo, nenda kapate shule,
Wanafundisha usindikaji wa bidhaa vyakula na mambo yote yanayohusu ujasiriamali.
TBS nenda baada ya kuona upepo wa biashara yako inakua kubwa na unahitaji kupeleka bidhaa zako kwenye maduka makubwa kama supermarkets, kwa namna yoyote ukiona bidhaa yako inawafikia wateja wengi au inamwelekeo mzuri wa kuwa kubwa katika soko/mauzo ni vizuri kuwa na certificate zote ili kuwalinda walaji.
Bidhaa zako zitapimwa bacteria na fungus mbalimbali kwa kiwango husika uki pass test utapewa certificate na maelekezo mengine uki fail unapaswa kurekebisha kilicholeta majibu mabaya kisha watafanya tena tests nyingine.
Kila la heri.
Nimejifunza kupitia wajasiriamali binafsi sio mzalishaji wala mtengenezaji, hayo ni machache niliyoelekezwa.
Vingunguti kuna VETA au SIDO?Mkuu Asante sana kwa mara nyingine. Nimeenda VETA ya pale vingunguti tena kwa bahati nzuri nika design mpaka logo na kufanya mambo mengine mengi maana pale ofisi ziko karibu karibu nyingi kushuulikia wajasiriamali
Naomba ucheki inbox yako mkuu