Jinsi ya kulipia Road License kwa M-Pesa

Bob Isaac

Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
25
Reaction score
4
Ndugu zangu wana Jukwaa hili naomba msaada kwa yoyote anayefahamu jinsi ya kujua kiwango ninachotakiwa kulipa Road License pamoja na penalty kwa sababu mda umepita kawaida huwa nalipa mwezi wa sita kila mwaka sasa kwa Bahati mbaya nipo nje ya Tanzania na hiyo Gari lakini huduma ya M-Pesa inapatikana huku niliko. plz mwenye uelewa tafadhari msaada namba ya gari yangu ni T270CAR.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…