jinsi ya kulog in as administrator

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505
wadau nimeinstall win 7, sasa kuna mambo mengi nikitaka kufanya naambiwa nilog as administrator, nimejaribu kugoogle lakini kila njia ninayo tumia inaniambia registry ipo blocked na administrator.
ninacho kumbuka mimi wakati tuna install niliingiza jina moja tu, lakini sijui hayo ya administrator
Msaada wenu tafadhali
 

Hiyo account yako nenda ujipe privilledge za administrator

Au fanya hivi

Hayo malezo nadhani ni kwmaba adminsitrator account password yake itakuwa empty

Kwa maelezo zaidi jinsi ya wewe mwenyewe kujipa administrative rights soma hapa
How to Get Full Administrator Rights in Windows 7 | Web Talk


Always make google your best friend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…