Jinsi ya kumaliza mchwa kwenye nyumba

Jinsi ya kumaliza mchwa kwenye nyumba

PAND PIERI

Senior Member
Joined
Jul 30, 2020
Posts
183
Reaction score
274
Wakuu, naomba mnisaidie jinsi ya kumaliza tatizo la mchwa kwenye nyumba, nitumie njia gani kutatuta tatizo hila.

Wanatafuna kweli kweli, na kujua alipo kiini Chao ni ngumu, anaejua dawa ya kumaliza kabisa anisaidie.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Choma nyumba moto uhamie nyumba nyingine, vinginevyo fanya fumigation
 
Kwa wale ambao bado hawajamwaga jamvi, nawashauri kabla ya kumwaga jamvi wamwage dawa ya mchwa ambayo concentration yake ni kubwa, wasione ubahili. Baada tu ya kumwaga dawa hakuna kusubiri ikauke, unaweka plastic cover na kumwaga jamvi juu yake.

Hapo mchwa utawasikia kwa jirani. Pia unachimbua pembeni ya matofali kwa nje kama unautafuta msingi ulipoanzia na kisha unamwaga dawa ya kutosha na kurudishia udongo. Tahadhari usimwagie hii sumu kwa udongo wa nje, utadhuru mwenyewe na watoto wako
 
Kwa wale ambao bado hawajamwaga jamvi, nawashauri kabla ya kumwaga jamvi wamwage dawa ya mchwa ambayo concentration yake ni kubwa, wasione ubahili. Baada tu ya kumwaga dawa hakuna kusubiri ikauke, unaweka plastic cover na kumwaga jamvi juu yake. Hapo mchwa utawasikia kwa jirani. Pia unachimbua pembeni ya matofali kwa nje kama unautafuta msingi ulipoanzia na kisha unamwaga dawa ya kutosha na kurudishia udongo. Tahadhari usimwagie hii sumu kwa udongo wa nje, utadhuru mwenyewe na watoto wako
Unaitwaje hiyo
 
Back
Top Bottom