PAND PIERI
Senior Member
- Jul 30, 2020
- 183
- 274
Mkuu.. ikitokea malkia ipo ndani ya kibanda.. huoni ni kubomoa kibanda kizima.. na huu usawa wa mama kuamisha machinga mjini.. tutajenga kweliChoma nyumba moto uhamie nyumba nyingine, vinginevyo fanya fumigation
Unaitwaje hiyoKwa wale ambao bado hawajamwaga jamvi, nawashauri kabla ya kumwaga jamvi wamwage dawa ya mchwa ambayo concentration yake ni kubwa, wasione ubahili. Baada tu ya kumwaga dawa hakuna kusubiri ikauke, unaweka plastic cover na kumwaga jamvi juu yake. Hapo mchwa utawasikia kwa jirani. Pia unachimbua pembeni ya matofali kwa nje kama unautafuta msingi ulipoanzia na kisha unamwaga dawa ya kutosha na kurudishia udongo. Tahadhari usimwagie hii sumu kwa udongo wa nje, utadhuru mwenyewe na watoto wako
Nyumba kashajenga huyuTumi dawa inaitwa termite killer ni nzuri sana wakati wa kumwaga jamvi