not true, tough guys does not wear such clothes.
Teh teh..We cant share Douta..Everything is oversized..Hahaha daddy wewe toka tu as unavyotokaga daily "simple". you will never go wrong with a simple look, don't try too hard + wear your confidence kabla ya chochote . BTW daddy unavaa viatu size gani, ujue sina pa kugongea sneakers siku hizi teh
hahaah undugu wetu utakuwa mashakaniTeh teh..We cant share Douta..Everything is oversized..
Teh teh..Itabidi unipende tu kama nilivyohahaah undugu wetu utakuwa mashakani
but do you know why many parents tend to wear their children clothes which seems like its relevant based on their gender?The weaker men with faminine quality always ain't comfortable with pink but tough guys are comfortable and they can wear any colour regardless of the occasion considering they worn their confidence first.
Its all about confidence and self-esteem then the colours follows later on.
La Belle!
I love white tops than anything unavaa na chochote chini n unashineShati jeupe linavaa kila rangi. Hapo tupia suruwale ya kadet au nyingne nzri ya brown au kaki na kiatu cheusi mkanda mweusi usisahau anjifuu nyeupe kama za viatu ziendane na suruwali au ziwe nyeusi kabisa. Ukigonga suruwale nyeusi viatu tia hivi kama valveti nyeusi mkanda brown si mbaya hakikisha nguo,viatu vinakukaa sawa sio vimooodo sana au mabwangaaa kama ya wanigeria
mfanyakazi wa bar au restaurant?!
hahaha umenichekesha heaven sent hahaha, tumwili hatari sanaaaa af umkute mkaka anayejua kuvaa.. uuh hatarious.......Me mtaniua jamani na tumwili twa hivi teh teh.
Mashati ya kike unayo?design na rangi zipihaya mkimaliza mniPm size za mashati mambo ya slimfit na cadert bei poa sana available kwangu, matisheti form six na v pia
thats dress code is unkwepable!Weeee... Ushia hapo hapo, black and white kitu cha Waheshimiwa hiko. Unaitwa Mheshimiwa kabla hujaingia bungeni. Hebu check pale mahakama kuu, ya rufaa wanavyotokelezea. Utawapenda!!! I like their dress code, they are looking so mwaaaaah......
Aaah Aaah hatarious, kawe karefu kunizidi afu black fulani hivi; mweeh fantasy hizihahaha umenichekesha heaven sent hahaha, tumwili hatari sanaaaa af umkute mkaka anayejua kuvaa.. uuh hatarious.......
wanawake hapana mpendwaMashati ya kike unayo?design na rangi zipi
Bahati mbaya mi ninaowaona wanavaa black and white ni barmaids.....Weeee... Ushia hapo hapo, black and white kitu cha Waheshimiwa hiko. Unaitwa Mheshimiwa kabla hujaingia bungeni. Hebu check pale mahakama kuu, ya rufaa wanavyotokelezea. Utawapenda!!! I like their dress code, they are looking so mwaaaaah......
Aaah Aaah hatarious, kawe karefu kunizidi afu black fulani hivi a hahha. Ntacheka siku nikiolewa na bonge mimi, fantasy hizi
sasa unasubiri nini? Nipo hapa......Aaah Aaah hatarious, kawe karefu kunizidi afu black fulani hivi a hahha. Ntacheka siku nikiolewa na bonge mimi, fantasy hizi
Teh mpenzi hivi vigezo vingine me naviitaga tu "bonus". As long as mtu ana vigezo vile muhimu basi hivi vibonus naweza nikavipotezea tu kama havipo. Hutu tumwili bana nilikuwa na bahati navyo enzi hizo, siku hizi hata hatunifati teh tehTih tih tih... Hutu tumwili tutabaki kutuona kwenye movie tu. Wachache sana wanaopenda khutu tumwili na kupata wenzi wenye navyo.
Mie ndo ilikuwa ndoto ya mwanaume mwenye huto tumwili... weeee nimekuja kupata mwenye kijitambi walau kidogo afu mwenyewe ana bidii niaje ya kukiondoa. But nafarijika ni mrefu kunizidi uuuuwwwiiii, Mwenyezi Mungu anisamehe sikutaka mume mfupi kunizidi....