Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Unawadai kiasi gani...na je unaushahidi wa kuwa wana pesa zako au uliwapa pesa zako?maana bila ushahidi unaweza kushindwa kupata pesa zako
Miezi 3 sasa. Ukomo wa madai ni miaka mingapi?Ni madai ya miaka mingapi kwani nayo yana ukomo kama hujayadai mapema
Ushahidi pekee nilionao ni transaction ya Mpesa niliyomtumia. Je unatosha kama ushahidi? Ni rafiki yangu lakini naona sasa ananipanda kichwani na dharau juu.Unawadai kiasi gani...na je unaushahidi wa kuwa wana pesa zako au uliwapa pesa zako?maana bila ushahidi unaweza kushindwa kupata pesa zako
Miaka miwili kama hakuna mkataba na miaka sita kama mna mkatabaMiezi 3 sasa. Ukomo wa madai ni miaka mingapi?
Asante Sana mkuu. Sina mkataba nae, najaribu kutengeneza mazingira aji commit kwenye SMS kwasababu amekuwa mjanja anapiga simu na hajibu msg.Miaka miwili kama hakuna mkataba na miaka sita kama mna mkataba