KIYAHUDI!!!Kivipi
Mpaka unakuja kuwa na ukwasi wa kumiliki nyumba na kutambulika mtaani kuwa na wewe hupo lazima uwe na mipango ya muda mrefu! Sio jambo la kuamka na mambo yenu heti "one day yes". Hiyo mipango ni ya kuanzia miaka si chini ya 10 (kumi). Nje ya hapo mpaka siku unazikwa chakula ya waombolezaji daftari lazima litembee!Kwa watu wote hasa vijana kumiliki nyumba ni ndoto ambayo kila mmoja anatamani kuitimiza. Lakini imeoneka kuwa sio rahisi kumiliki nyumba.
Kwa wale ambao tayari mnamiliki nyumba hata magari naombeni mtupe ushauri wa jinsi mlivyofanya(mbinu) hadi kufanikisha kumiliki nyumba zenu.
NAOMBENI TUSHEE UZOEFU PENGINE UTAMSAIDIA KIJANA MMOJA HUMU KUTIMIZA NDOTO ZAKE.
Naomba kuwasilisha.
1 ibaKwa watu wote hasa vijana kumiliki nyumba ni ndoto ambayo kila mmoja anatamani kuitimiza. Lakini imeoneka kuwa sio rahisi kumiliki nyumba.
Kwa wale ambao tayari mnamiliki nyumba hata magari naombeni mtupe ushauri wa jinsi mlivyofanya(mbinu) hadi kufanikisha kumiliki nyumba zenu.
NAOMBENI TUSHEE UZOEFU PENGINE UTAMSAIDIA KIJANA MMOJA HUMU KUTIMIZA NDOTO ZAKE.
Naomba kuwasilisha.
Atengenezeatlas kabisaKwanza kuwa na ramani zaidi ya kumi ili zikupe mzuka wa kujenga. Unawazaje kujenga hata ramani ya nyumba huna?
Kuna kijana kapanga nyumba sehemu ila ifestyle anayoishi hapo sijui kama atakaa ajenge yake.mUmalaya mnataka, Ulevi mnataka, Sijui ubishoo mnataka na kumiliki nyumba mnataka ninyi. Hebu tuacheni kidogo kwa mtu wa kipato cha Mtanzania kujenga kunataka dhamira. Vingevyo utaishia kupanga matofali halafu uite nyumba.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Huyo atajenga! Ukwasi anao!Kuna kijana kapanga nyumba sehemu ila ifestyle anayoishi hapo sijui kama atakaa ajenge yake.
Uwani kapaki Range,bmw,ford ranger then kaweka electrical fence kwa gharama zake plus walinz wa kampuni.
Kabadili kila kitu jikoni vyoon kaweka vya kisasa kwa hela yake.Kazi yake ni kumuomba tu ruhusa maza house ya kubadili.
π
Labda sbb pesa kweli anayoHuyo atajenga! Ukwasi anao!
Inategemea na kipato chako ila ili mambo yasiwe mengi tafuta viwanja vya nje ya mji ambayo bei iko chini kidogo ukishamalizana na mwenye kiwanja unaanza mdogo mdogo kukusanya hela ujenge taratibu hatua kwa hatua anza msingi then boma kisha paua ndio ufanye finishing. usiwe na haraka ukakosa hela ya kula kisa unataka nyumba tu. (Nb. Chugua nyumba ya size yako kulingana na kipato chako).Kwa watu wote hasa vijana kumiliki nyumba ni ndoto ambayo kila mmoja anatamani kuitimiza. Lakini imeoneka kuwa sio rahisi kumiliki nyumba.
Kwa wale ambao tayari mnamiliki nyumba hata magari naombeni mtupe ushauri wa jinsi mlivyofanya(mbinu) hadi kufanikisha kumiliki nyumba zenu.
NAOMBENI TUSHEE UZOEFU PENGINE UTAMSAIDIA KIJANA MMOJA HUMU KUTIMIZA NDOTO ZAKE.
Naomba kuwasilisha.
Kila mtu na njia zake.Kwa watu wote hasa vijana kumiliki nyumba ni ndoto ambayo kila mmoja anatamani kuitimiza. Lakini imeoneka kuwa sio rahisi kumiliki nyumba.
Kwa wale ambao tayari mnamiliki nyumba hata magari naombeni mtupe ushauri wa jinsi mlivyofanya(mbinu) hadi kufanikisha kumiliki nyumba zenu.
NAOMBENI TUSHEE UZOEFU PENGINE UTAMSAIDIA KIJANA MMOJA HUMU KUTIMIZA NDOTO ZAKE.
Naomba kuwasilisha.
Kwanini ujenge nyumba ya mil 40 halafu huna "side hustle"Umalaya mnataka, Ulevi mnataka, Sijui ubishoo mnataka na kumiliki nyumba mnataka ninyi. Hebu tuacheni kidogo kwa mtu wa kipato cha Mtanzania kujenga kunataka dhamira. Vingevyo utaishia kupanga matofali halafu uite nyumba.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Huyo atajenga mansion maana akiuza tu gari moja hapo anajenga nyumba ya kawaida.Kuna kijana kapanga nyumba sehemu ila ifestyle anayoishi hapo sijui kama atakaa ajenge yake.