West standard
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 441
- 649
Kuishi na binadamu ni shughuli pevu.Unapaswa uishi naye kinafiki au umuepuke kuwa naye mara nyingi.Huyo ndiye binadamu.Kichwa cha habari chahusika.
Je unawezaje kumpenda jirani mwenye kisirani?
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app