Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Wadau, me shida yangu ni ndogo tu.. Naomba mnielekeze jinsi gani naweza kumtag mtu/member mwenAngu humu JF.
Nawasilisha
Nawasilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si ungefanya kufungua uzi wako badala ya kudandia huu wa Shombe la Kisomali?!🙄Naomba mnisaidie pia jinsi ya kuedit au kubadili avatar natamani sana niweke picha kwenye avatar yangu na kumfata mtu private kupitia private message naomba msaada pia ndugu zangu
Andika @ hii halafu andika jina la huyo member bila kuacha nafasi.
Shombe la Kisomali
Haijakubali.Hebu nijaribu mkuu.
@NAHUJA
Hao ni wazee wakudandia gari kwa mbele hata KWETU WAPO...!!!Sasa si ungefanya kufungua uzi wako badala ya kudandia huu wa Shombe la Kisomali?!🙄
Asante sana mkuu, nimewezaHaijakubali.
Rudia tena andika alama @ halafu andika jina. hakikisha usiacha nafasi baada ya kuandika alama @ hiyo.
Hureeeeeeeeeeeeeeeee. Somo limeeleweka. umefanya vizuri. hongera sana.
Abeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee