Jinsi ya kumtambua mwanamke bikra kwa kumuangalia tu

Hahhaa harufu ya chenza

Mkuu macho yako yananusa?mana umesema kwa kumuangalia kisha unasema anaharufu ya chenza..huko ni kumnusa mkuu.

Hahhaha jf bhana.
 
nipo hapa najiaribu kumchunguza bibi yangy mzalia m ama kwenye shingo
 
Utopolo
 
Bikra gani tena jamani sisi haohao tunawatolea hizo bikira au wanajitoa wenyewe
 
Ha ha haaaaaa
 
Sahivi nitakuwa siangalii misambwanda tena nitakuwa busy kweli kweli kuangalia puani na kumgeukia kuangalia huo weupe hapo mwisho wa nywele zao

Mitano migumu yenye changamoto kubwa kubwa ambapo kuzitatua huleta matatizo katika maisha
 
We jamaa [emoji16]
 
Uongo!,uwongo!,Huo ni uongo bhana hakuna!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…