Jinsi ya kumtega Kware

Jinsi ya kumtega Kware

Alphaking2023

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
2,092
Reaction score
2,123
Nataka nipate kware wa porini kuna sehemu nimepita nimekuta pori ambalo lina kware.

Naomba mwenye ujuzi katika kuwatega na kuwakamata hawa kware anijuze
.
 
hahahaha mkuu kuwa kamata kware wakiwa hai inahitaji utaalam au ujanja sana ila kwa mitego mala nyingi lazima utamkuta sio hai au kafa kwa ubishi wake au kilema.

ukitaka kumpata kwale akiwa hai labda umuotee kwenye kiota chake harafu hata ukimkamata huwa wanatabia ya kujiulia mikononi mwa binadam.

hawa ndege ni waajabu sana
 
Nataka nipate kware wa porini kuna sehemu nimepita nimekuta pori ambalo lina kware, naomba mwenye ujuzi katika kuwatega na kuwakamata hawa kware anijuze

Njoo PM nikuelekeze kwa malipo kidogo, utawapata wote.
 
hahahaha mkuu kuwa kamata kware wakiwa hai inahitaji utaalam au ujanja sana ila kwa mitego mala nyingi lazima utamkuta sio hai au kafa kwa ubishi wake au kilema.

ukitaka kumpata kwale akiwa hai labda umuotee kwenye kiota chake harafu hata ukimkamata huwa wanatabia ya kujiulia mikononi mwa binadam.

hawa ndege ni waajabu sana

sasa hawa wanaowafuga wanawapata wapi?
 
wape pombe wanywe badala ya maji, wakilewa utawapata wote. Ndugu LEGE hawa sio kware, kwa kiswahili sijui wanaitwaje ila kiluo tunwaita ALURU
 
Back
Top Bottom