Alphaking2023
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,092
- 2,123
Nataka nipate kware wa porini kuna sehemu nimepita nimekuta pori ambalo lina kware, naomba mwenye ujuzi katika kuwatega na kuwakamata hawa kware anijuze
hahahaha mkuu kuwa kamata kware wakiwa hai inahitaji utaalam au ujanja sana ila kwa mitego mala nyingi lazima utamkuta sio hai au kafa kwa ubishi wake au kilema.
ukitaka kumpata kwale akiwa hai labda umuotee kwenye kiota chake harafu hata ukimkamata huwa wanatabia ya kujiulia mikononi mwa binadam.
hawa ndege ni waajabu sana
wape pombe wanywe badala ya maji, wakilewa utawapata wote. Ndugu LEGE hawa sio kware, kwa kiswahili sijui wanaitwaje ila kiluo tunwaita ALURU