[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] eti kama mwenge huruki kijijiEnzi zangu du nilikuwa kama mwenge siruki beki tatu
Ndio maana kuna majukwaa ya watu wa kila aina ndan web hii ya jamii forum sasa nashangaa unataka busara ndani ya jukwaa la utani sijui kama upo sahihi ,tembelea majukwaa yanayo endana na unacho hitaji huwezi kumfanya kila mtu afikirie utakavyo, na jamii forum kwa kulijua hilo wakaweka majukwa mengi ili kila mtu aende anako hitaji kutokana na mahitaji ya moyo wake.Kam hadi Leo kwa tz hii,,,tunaelimishana mambo km hayo,,,kuna hatr kwamba hatutafika huko tuendakooo
Haahha uvae miwani ya mbaoHiyo ya kumfulia chupi inabid watu mjitoe ufahamu
Na usisahau hakuna beki 3 mgumbaJinsi ya kumteka beki tatu mpya
1 kuwa mcheshi kwake
2 uwe mtu unaemjali mchukulie kama dada au mdogoako
3 akigombezwa kuwa wakwanzza kumtetea wakemee wadogo zako na ndugu wakileta dharua kwake
4 mshirikishe kwenye mambo yako ya msingi. Muombe na mpe ushaur mzur
5. Mfundishe kutumia vtu vya ndan mfano. Tv. Computer gems ikiwezekana mfundishe kutumia smartphone yak
6 hakikisha ukiwepo ww hatesek
7 jifanye kuosha vyombo mkiwa wawil
8 mwambie akufundshe kupika
9 omba umfulie nguo mfano chupi
10. Chezen michezo ya kitoto kufinyana kutekenyana
Kinachofuata ni kama mkeo tena bila gharama za fedha. Maana hana shida tena mshahara anapata kila kitu anapata ahame aende wapi
Kuwa makin wanaongoza kupata mimba hawa na weng hawajui siku za hatar na hapa urahis wake mkiwa free mkiachiwa nyumba je. Kwa hiyo kuwa makin. Wana wivu pia hawa beki tatu sasa ww mkoleze akolee awe mzembe kazin. Na wengine wanataka mimba kusudi kuwa makini na akipata mimba usimfukuze kaa nae .
Nina mke wa mtoto, bado nina mchepuko moja safi tena uko makini kabsa.
Beki tatu wa nini tena?
Labda nyie wazeiya wa ugali wa Shikamoo.
Huna akili mzee wa kichaga afu tena unamwita mama?Mzee wa kichaga umenochekesha sana...shikamoo mama, chakula kipooo!!!???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ohooo kumbe hujanielewa, hapo shikamoo mama ninamaanisha yule kijana uliyemwambia anakula ugali wa shikamoo mama na sio wew mkuuHuna akili mzee wa kichaga afu tena unamwita mama?
Au huko kwenyu unasalimia hivyo baba zako?
Sorry sana mkuu, mimi mwenyewe nimeshagaa sana maana najua uelewa wako, nikafikili Labda umempa shemeji yetu ID yako.Ohooo kumbe hujanielewa, hapo shikamoo mama ninamaanisha yule kijana uliyemwambia anakula ugali wa shikamoo mama na sio wew mkuu
Hapana mkuu huwa sina dharau hizoSorry sana mkuu, mimi mwenyewe nimeshagaa sana maana najua uelewa wako, nikafikili Labda umempa shemeji yetu ID yako.
Huko uendako ni wapi mkuuKam hadi Leo kwa tz hii,,,tunaelimishana mambo km hayo,,,kuna hatr kwamba hatutafika huko tuendakooo