KATIKA MAISHA ILI UWE NA FURAHA LAZIMA UTAMBUE:
*Katika kupoteza, Kuna kujifunza. Chukulia kwako ni funzo Songa mbelee...
*Katika kushindwa, Kuna fursa. Ukishindwa hapa, ni fursa ya kuanzisha safari nyingne, we Songa mbelee...
*Na hakuna tatizo lisilo na majibu. Tafuta chanzo, na jua udhaifu na uimala wako katika kulikabili tatizo. Saka ushauri na hata msaada kama unahitajika, we Songa mbelee.
KUIWEKA FURAHA YAKO IDUMU USITAKE:
*Kumfanya Kila mtu akupende. Huwezi pendwa na wote hata Mungu Kuna wanao mchukia, We Songa mbelee..
*Achana na mtu au mpenzi anaye kusaliti, Kwani Kuna mtu anatamani sana nafasi hiyo iache wazi wengine waje...
*Usipende kujikomba Kwa watu, tambua hawatokupa furaha kamwe
*Usijaribu kuwa mkamilifu Kwa Kila mtu. Hata ufanye vzr vipi Kuna watu hawatokuelewa tuuu..
*Tambua wewe ni wa thamani sana. Kipende, heshimu hisia zako, tambua Kuna watu uwepo wako tuu unawatosha kuwapa amani ya moyo.
*Usifananishe maisha Yako na ya wengine. Jaribu kuwa wewe, ishi maisha Yako utakavyo na kadri ya kipato chako, usiige maisha.
Mbarikiwe sana👏🏿👏🏿👏🏿