sixlove
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 563
- 393
Wapendwa wana JF ,girlfriend wangu ni mjamzito hasa ukijua kwamba tulicheza karate nje ya dojo. napenda kujua ni jinsi gani ya kumuogesha mtoto mara baada ya kuzaliwa, na inachukua muda gani kumuogesha mtoto baada ya kuzaliwa? na ni jinsi gani ya kumuhudumia mtu aliyetoka kujifungua. Msaada pleaseeeeeeeeeeeeeeeeee.