Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Habari zenu wana JF. Leo nawaletea mbinu za kumuondoa mdudu aliyeingia sikioni.
Kuna baadhi ya wadudu huwa wanapenda kuingia masikioni kama vile mende,chawa,nzi nk. Tunamuondoaje?:Tumia moja kati ya njia hizi:
1. Elekeza kichwa chako kwenye jua. Kama ni usiku elekeza kwenye mwanga wa umeme kwa muda mrefu. Kichwa chako kikigusana na mwanga kwa muda mrefu huleta joto linaloweza kumfukuza mdudu.
2. Chukua kipande kidogo cha tufaha(apple)kiweke jirani na sikio lako(next to the ear). Mdudu ikimkuta harufu ya tufaha inamtoa nje.
3. Inamisha kichwa upande kwa chini na mtu mwingine akutie mafuta ya kupikia kwenye sikio lenye mdudu. Mafuta yakisha ingia ruhusu yakae kwa muda wa dakika moja hivi halafu ruhusu yatoke. Yanapotoka yanatoka na mdudu.
4. Weka maji ya uvuguvugu sikioni ukiwa umeinama. Kaa na hayo maji dakika 3. Kisha kohoa ukiwa ukiwa umekandamiza kifua kisha inamisha sikio chini na urukeruke kichwa upande na utaona mdudu anatoka.
Yote haya kama hujafanikiwa nenda hospitali.
Pastor Achachanda.