Jinsi ya kumvuta Mwanamke bila hata kutumia shilingi

Hakuna kitu kama kumvuta mwanamke bila shilingi ila kuna kupendwa! 😂😂😂

Mwanamke akikupenda anakupa bila hata kukuuzia hata kama yeye ni mfanyabiashara wa kuuza papuchi. Wala hata hutatumia nguvu sana kwenye kuomba inakuwa kama kumsukuma mlevi tu. Utajiona mwamba kumbe ni ile huruma inayotokana na upendo tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]eehh mkuu , sasa mambo ya wese namm wapi nawapi

Hapa tunachangamsha genge tuu

Kuna mkuu huko juu, yeye kanialaan kabisa...

Nikagundua ni moja ya mpigaji wa madem wa wengine lkn kwake ataki aguswe
Hatari mzee , uwanja wa nyumbani lazima ulindwe kwa gharama yoyote .
 
Kweli mkuuu
 
Hiyo fumula yako labda utumie kwa hao wanawake wa buza akina mwajuma nyamadela
 
Ninapokuwa kwenye harakati za utongozaji, has a ikitokea akawa ni make wa mtu. Huwa naumia Sana anapoanza kumponda mume wake na kunipa siri zake za nani. Siwezi kumwambia ila huwa nina mshusha thamani saaaaana.☹️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…