Jinsi ya kumvuta na kumrudisha umpendaye kwa haraka

SuperHb

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2016
Posts
911
Reaction score
751
Huu ni Utaalamu mwepesi wa jinsi ya Kumvuta Mpenzi wako ambaye aidha hakupendi au amekutoroka.
Utaalamu huu utakupa uwezo wa kuvuta Mapenzi ya aina yoyote kwa Mpenzi wako, Marafiki zako, Wafanyakazi wenzio, Wakubwa wako wa kazi, Ndugu zako Adui zako na kwa ujumla mtu yoyote ambaye unataka akupende.
Vitu vinavyohitajika ni kama ifuatavyo:
1. Karatasi Nyeupe kabisa isiyo na Mistari na ambayo haijatumiwa (Karatsi Mpya)
2.Kalamu mbili za Wino, moja Nyeusi na moja Nyekundu.
3.Maua ya Waridi (Rose Flower) mawili ya rangi ya Pinki.
4.Jagi la Maji la Kioo likiwa na maji karibu kujaa.
5.Mkasi mpya Mdogo ambao haujatumika.
6.Bakuli la Maji likiwa na maji ndani yake.
KAZI HII UNAIFANYA WAKATI GANI?
Shughuli hii unatakiwa uifanye wakati wowote ambao wewe mwenyewe unahisi kwamba haupendwi. Haina wakati maalum
JINSI YA KUFANYA :
Kata karatasi hiyo Nyeupe katika vipande viwili vilivyo sawa, hakikisha umepima, ili kimoja kisizidi kingine.
KWA KUMVUTA MPENZI:
•Ukitumia Kalamu Nyekundu, andika katika moja ya vipande hivyo viwili vya karatasi kwa ufupi mambo yote ambayo unafikiri yanakufanya upendwe na watu, mfano, labda una sura nzuri, au unavaa vizuri, au unasaidia sana watu au unazungumza na Watu vizuri na Kadhalika.
•Chukua karatasi uliyoandika maneno yako mazuri, iweke dirishani Maandishi yaelekee Juu, Juu yake weka Jagi la maji la Kioo. Ndani ya Jagi tia yale maua mawili ya Waridi (Rose), Wakati unaweka Maua hayo unatakiwa unuie na uwataje kwa majina yao wale unaowataka wakupende au jambo unalolitaka la Mapenzi.
•Karatasi ya mambo yako mazuri uliyoiweka chini ya Jagi la maji iache hapo mpaka Mwezi utakapoandama, unachotakiwa kufanya, nikubadilisha mara kwa mara Maua yaliyo ndani ya Jagi kila unapoona yamenyauka.
KWA KUJISAFISHA NA KUJITOA MIKOSI
•Ukitumia Kalamu Nyeusi, andika katika kipande cha karatasi kilichobaki mambo yote Ambayo unafikiri yanawafanya watu wakuchukie, Mfano: Kama pengine wewe ni Jeuri, au una sura mbaya, au labda wewe ni mbahili au labda unaringa sana na kadhalika.
•Karatasi uliyoandika mambo yako mabaya itie ndani ya bakuli la maji na uiache hapo mpaka maandishi uliyoandika kwa Wino mweusi yafutike kabisa, kisha ulitupe karatasi lililolowa ambalo litakuwa halina maandishi Kwenye Jalala la Taka.
Maji ya kwenye Bakuli yamwage njia panda, wakati wa kiza (Usiku). Unapomwaga Utie nia kwamba usichukiwe tena na haowanaokuchukia.
Fanya hivyo na utaona Maajabu.

Wale watakaofanya utaalamu huu tunawaomba watume Mafanikio gani waliyopata na kitu gani kilichotokea baada ya kufanya tendo hilo kupitia : Email.. Denisgeorge251@gmail.com
 
Nifanye hayo yote kumrudisha yeye kwani 'em bii o o' iko yake tu duniani?
 
Hizi process zote za nini aiseee... Siku hizi kwenye masuala ya mapenzi hata hakuna mambo mengi.
LET IT GO, IF IT IS DESTINED TO BE YOURS IT WILL COME BACK, IF IT ISN'T IT WILL NEVER... TRUST THE PROCESS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume lijali kabisa nitulie nakuacha mambo yangu
Nifanye upuuzi huu
 
There is no external force za kumrejesha mwenza wako mlieachana, hii ramli haina mashiko na ni ya kupoteza muda tu, akiondoka achana nae anza kurasa mwingine, mambo ya kuwa wachawi kisa kumrudisha uliempenda its outdated fashion.

Happiness is a lifestyle
 



Mkuu, Badala ya kuwafundisha watu kumuomba Mungu ili awaongoze kama hawapendwi wafanye nini ili wapendwe, na wamekosea wapi hadi wanachukiwa nk, Wewe unakuja kufundisha watu Shirk hapa. Angalia hakuna dhambi kubwa kabisa mbele ya Mungu kama shirk.
 
Hizi process zote za nini aiseee... Siku hizi kwenye masuala ya mapenzi hata hakuna mambo mengi.
LET IT GO, IF IT IS DESTINED TO BE YOURS IT WILL COME BACK, IF IT ISN'T IT WILL NEVER... TRUST THE PROCESS

Sent using Jamii Forums mobile app


After all women outnumber men, and some women move around looking for partners for marriage.
 
Daah..! mlioanza tiba kama nawaona vile
Jifunze kujipenda, kujikubali, kujithamini, kujijali, kujiheshimu na kujilinda yourself trust me hakuna atakae kuchukulia poa
 
Huu sasa sini ulozi au mimi ndiye sielewi, hhhahahaha ila najua kuna watu humu washa test,
Ila wanawake walivyo wengi kwanini uangaike na uchawi wakati ukitoka tu hao hapo wanakuja kama mbu yani bila kuwaita


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…