Jinsi ya kumwambia mpenzi anayetoa harufu mbaya ukeni

Cognizant

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2022
Posts
626
Reaction score
1,409
Ukijua mpenzi wako anatoa harufu kali na mbaya ukeni kwake ila unampenda, utatumia akili gani kubwa kumwambia ili akuelewe na asiumie ili ajirekebishe?

Huku Zanzibar ninapoishi na yalipo makazi yangu siku zote nimempata rafiki wa kike, ila ana hiyo changamoto kubwa.
 
Ukweli ni kwamba kuna wanawake wana nyuchi kubwa na zenye mashavu manene mpaka yanatepeta, ukute hajakeketwa shida ndio hiyo kunuka nuka uchafu ukeni. mkiambiwa ukeketaji ni usafi muwe mnaelewa
 
Kaa naye chini umweleze ukweli mchungu wa tatizo lake, baada ya hapo umweleze kuwa hili tatito unaweza kulitatua kwa kufanya hivi au vile. Acha kumuogopa au kumuonea aibu au kuona kama utamuumiza ukimwambia ukweli.
 
Mara nyingi sio jambo la kurekebisha, ni Kama ugonjwa; Fanya maamuzi kama waweza chukuliana na hiyo Hali!
 
mkaoge pamoja bafuni kisha msafishe vyema na umueleze kwamba unatamani huo utamu wa mbususu uufanyie usafi hivi na hivi huku ukimuelekeza, ili uskie ukinukia marashi ya karafuuu...

msisitize kila siku unatamani hiyo mbususu inukie marashi ya karafuuu kwahiyo aisafishe kama unavyo msaidia kuisafisha...

ni vizuri kumtisha pia na umueleze kinaga ubaga kua wewe una aleji na harufu mbaya ya mbususu na hua unazimia kabisa ukinusa harufu mbaya ya mbususu,

na mshedede wako hua unazira na unagoma kabisa kusimama...
So, jambo la kwanza mkikutana awe amesafisha mbususu vizuri sana, na kunusa kama bado kuna shombo aisafishe hata mara5 mpaka ibaki marashi ya karafuuu tu...



hiyo harufu kama feri ni mbaya sana aise na inakata stimu kabisa 🐒
 
Mwambie "do something with your pussie"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…