Jinsi ya kunenepesha nguruwe wako.

mrkazi360

Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
20
Reaction score
15
Mfugaji wa nguruwe tazama nguruwe walivyobadilika na kuwa na afya bora ndani ya muda mfupi tu na hii ni baada ya kuwapatia Virutubisho vya MAX PIG kutoka Mifugo Plus.

Nitoe wito kwa wafugaji wote Tanzania ambao hawajawahi kutumia Max pig kuanza kutumia mara moja.

Max Pig husaidia nguruwe kuingia joto kwa wakati,kuzaa watoto wengi wenye afya,kuboresha kinga ya mwili. Nk.

1 KG BEI 30,000/=TSH.

■Call
0656 446 991
0774 608 608

DAR ES SALAAM TEGETA KWA NDEVU DARAJANI OPPOSITE NA THE ONE HALL NJIA YA JESHINI.
 

Attachments

  • 8L6A0800.jpg
    1 MB · Views: 13
  • 8L6A0970.jpg
    1.1 MB · Views: 24
  • 8L6A0979.jpg
    947.9 KB · Views: 17
Ile tuhuma za kitaa za kuwamezesha ARV ili wanenepeane ni kweli au si kweli?
 
Bei imechangamkaa!!
1 kg inatosha nguruwe mmoja au zaidi ya mmojaa??

Na kirutubisho chenyewe ni cha kuwapa wale/wanywe au ni ya kudunga??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…