Wewe ni Mkali na unajua hubahatishi mwambaIkiwa ni mapenzi yako katika kujaribu kwenda kung'arisha au kutakasa nyota yako kwa mnajimu yoyote yule basi kuna mambo ni muhimu na unatakiwa kuyazingatia unapokwenda huko ili uweze kupata hitaji lako.
IPO HIVI:
Yeyote kati yenu atakapoenda kutaka kusafishwa nyota kwa mtu yoyote yule basi aende akiwa na backup ya mambo yafuatayo;
Kama akiweza kutambua hayo na kuwambia basi mtangulize Mungu kwa imani yako na utasaidika hapana shaka lakini kama hatokwambia yote haya huyo uliyemfuata.
- Ahakikishe kwanza anaemfata anajua vema kuhusu nyota za watu kulingana na imani zao.
- Ajulikane ana nyota gani na ina tabia gani?
- Siku nzuri kwake ni zipi na mbaya ni zipi?
- Asili ya nyota yake ni ipi?
- Tabia ya nyota yake ni Ipi?
- Maada ya nyota yake ni Ipi? (Hili ni la kuzingatia zaidi MAJI,UPEPO,MOTO,UDONGO)
- Nyota yake inang'arishwa kwa mlango upo? (ambao yeye akiona mafanikio ndio atajua nyota imeng'aa
- Ascendant yake ni Ipi?
- Descendant yake ni ipi?
- Sharif yake ni ipi?
- Nuksi yake ni ipi?
- Direction yake kinyota ni ipi?
- Milango yake imekaa vipi?
- Malaika wa nyota yake ni yupi?
- Jini wa nyota yake ni yupi?
- Shetani wa nyota yake ni yupi?
- Nyota yake kwa muda huo ipo usawa gani?
- Cusps na decanates zake zipo vipi?
- Indication ya nyota yake ni ipi?
- Daraja la mwezi kwa nyota yake ni lipi?
- Daraja la sayari kwa nyota yake ni lipi?
- Amjuze alipotoka, alipo na anapokwenda? (Na ziwe acumulate na yeye)
- Ajue afinity zake?
- Angles zake ni vipi?
- Amtajie na thamani ya nyota yake na uwezekano wa kung'aa?
- Nini kinaweza kuboost nyota yake? (Madini,Vito,Mawe n.k)
Basi fahamu kabisa kuwa hawezi kukusafisha nyota yako zaidi ya kukupa jini au uchawi ambao utakusukuma kwa muda fulani uone mafanikio kisha utaharibikiwa ili urejee tena kumpelekea pesa na atakugeuza kitega uchumi.
Mtaniwia radhi sihitaji quotes za watu hapa inayosema udini au damu kuwa maji na maji kuwa damu. Nyota ni maarifa kama ilivyo maarifa mengine ya kibinadamu.
Rakims
Kila mtu ana elimu aliyokadiriwa na mwenyezi Mungu mkuu, huenda ipo elimu ambayo wewe unayo mimi sina pia ndio maana kuna kutegemeana katika mazingira.Mwamba uko vizuri sana kama vile umewahi fika sayari zingine au unazijua sana elimu ya jua na mwezi
Kila mtu anaamini uwepo wa Mungu na kila mtu ni mwenye kupenda kuwa na mahusiano mema na Mwenyezi Mungu hivyo hakuna mtu anaekupinga katika hilo mtumishi/mtakatifu vyovyote vile cheo unachojipa kulingana na akili yako. Lakini ukweli ni kwamba thread na quote yako ni vitu viwili havifanani. Na kama haitoshi Nyota ina maana yake na pia Mungu ana mahala pake na sheria zake sasa wewe ulokole usikuvuruge akili kiasi cha kwamba inafikia sehemu hata hujui unachokiandika na unaandika wapi.Nyota ni jinsi unavyohusiana vyema na Mungu Muumba wako kiimani na kivitendo tu, nnje ya hapo ni.........
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni maana ya nyota au ni usingizi unakusumbua sasa hivi?Nyota ni jinsi unavyohusiana vyema na Mungu
Hiki nacho umeandika nini?Muumba wako kiimani na kivitendo tu
nnje ya hapo ni.........
Naongezea wewe ni mpuuzi na kigagula mshenziHaijarishi ni nini utasema.. Lakini haita badiri maana kuwa wewe ni Mpumbavu sema kila utakachosema haitabadiri maana kuwa wewe ni Mpumbavu
Rakims
Mark my words Son... When you grow up you will remember and understand.Naongezea wewe ni mpuuzi na kigagula mshenzi
Wewe ni mbulula
Miaka yote uko humu kujaza watanzania ujinga
Hii dalili wewe ulikuwa kilaza shuleni sasa umeangukia kwenye huu ulozi na pia huna shughuli ya maana kimaisha zaidi ya kushinda humu kundeleza huu utopolo kudanganya jamii na hizi pumba,na kama inayoonekana kwa jinsi ya mitanzania kuwa asilimia kubwa ya mbulula kama wewe inaamini huu upuuzi.
Kila kitu na wakati wake... mwenyezi Mungu akijalia kheri ifike kwako itafika tu..Mkuu Rakims Mimi nakuhusudu Sana na kipaji chako na elmu uliyokuwa nayo.
Huwezi amini nimeanza kukufuatilia tangu mwaka 2017 na namba zako za simu ninazo kitambo Sana.
Haja yangu kubwa kuja ofisini kwako ili niweke mambo yangu vizuri ila changamoto kubwa kwangu kila nikipanga na nikipata pesa basi huwa either najisahau au nikikumbuka najisemea tu moyoni hii pesa haitatosha pengine kuna masuala mengi ya kuhitajika pesa kwahiyo naacha najisemea kuwa siku nikipata ya kutosha nitakuja.
Lakini tuombeane dua ALLAH atupe wepesi katika Yale tunayoyahitaji.(insha'Allah)
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app