Jinsi ya kununua gari ya Range Rover ya Millioni 150 kwa mshahara wa Laki tano kwa mwezi

Mind you Range Rover yenyewe mtumba, mwishoni iwe screpa garage smh
 
Ndugu umejaza vifaa vya JF bure! Hakuna uwezekano huo, hata iweje! Si kwa kipato hicho! Kwa kipato hicho, mtu hakopesheki, mtu hawezi kuwekeza na hata kwa miaka 25 akipewa hilo gari la mwaka huu, hatalimudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…