H hanley jr Senior Member Joined Feb 26, 2013 Posts 119 Reaction score 27 Feb 27, 2013 #1 Wakuu naomba mnijuze jinsi ya kununua hisa au share katika kampuni au stock exchange,msaada wakuu wangu
Wakuu naomba mnijuze jinsi ya kununua hisa au share katika kampuni au stock exchange,msaada wakuu wangu
Chimbuvu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2012 Posts 4,401 Reaction score 2,341 Feb 27, 2013 #2 Inabidi utumie broker,kama hauna acces ya kwenda kwa mabroker ohio etc unaweza nunulia ktk mabank