Jinsi ya kununua jezi za mpya za Simba mtandaoni

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Baada ya Simba SC kuutangazia umma juzi kua kuanzia sasa zile jezi bora kabisa kuwahi kutengenezwa katika ardhi yetu ya Tanzania, unaweza kununua online kupitia mtandao wa https://www.jumia.co.tz/ kuna matatizo kidogo yametokea, na nadhani ni kwa sababu ya kua huu ni mfumo mpya hapa nchini.

Utaratibu wa kununua jezi Online ni huu hapa;

1. Unapiga namba either 0759756666 au 0655756666, ambapo utaweka order, na utapew order namba. Mfano Mimi nimeweka order, na nikatumiwa order namba yangu.. Na namba ya kutuma pesa ambayo ni ya Tigo pesa.

2. Baada ya hapo unatakiwa kulia gharama ya jezi ambayo ni Tsh. 15750 tu + gharama ya kutuma jezi toka Dar hadi ulipo kama uko nje Dar. Gharama hii hutofautiana kulingana na mahali ulipo. Kwa walio Dar maduka maalumu yapo.. Hivyo ni vyema ukajongea.

3. Baada ya kufanya malipo, ndani ya siku 3 jezi itakua mikononi mwako.

Hii ndo Simba SC nayoijua mimi.

JEZI ZENYEWE NI HIZI HAPA:

1438351215681.jpg

Shime wana Msimbazi wenzangu, tuzichangamkie hizi jezi ili siku ya Simba Day.. Taifa ipambwe na rangi Nyekundu na Nyeupe.

cc BBA
 
Last edited by a moderator:

View attachment 272698

Asante sana mkuu. ntapiga kesho asubuhi nataka niwe wa kwanza hapa Mwanza
 
Last edited by a moderator:
Simba hii hii ya mchangani! Hakuna Wa kununua
 
Huu uzi noma,lazima kua nayo...nyie watani ,kuna mambo ya kupinga ila si hili la jez...hii ni biashara ya team na kitu cha kuiga sio kupinga,hata Barcelona inauza jez...Haala Simba
 
Heee! Kumbe timu za mchangani nazo zinauza jezi! Soka ya bongo bana, shaaabash!

Huu uzi noma,lazima kua nayo...nyie watani ,kuna mambo ya kupinga ila si hili la jez...hii ni biashara ya team na kitu cha kuiga sio kupinga,hata Barcelona inauza jez...Haala Simba

Viumbe kama nyie lazima muwepo ili dunia iweze kuzunguka.
 
Nmenunua online kwa hao Jumia toka 29.7 mpaka sasa sijaletewa ni bora ningefuata mwenyewe pale Sinza dukani kwao
 
Ngoja niwatumie email Aveva na Collins. Lazima wafanye pia mpango wa kuuza jezi nje ya nchi, ulaya na marekani wanajua wapo wakereketwa wengi tuu na hiki ni kipindi kizuri sana watu wanatesa na majezi ya kwao...!

Baada ya Simba SC kuutangazia umma juzi kua kuanzia sasa zile jezi bora kabisa kuwahi kutengenezwa katika ardhi yetu ya Tanzania, unaweza kununua online kupitia mtandao wa https://www.jumia.co.tz/ kuna matatizo kidogo yametokea, na nadhani ni kwa sababu ya kua huu ni mfumo mpya hapa nchini.

Utaratibu wa kununua jezi Online ni huu hapa;

1. Unapiga namba either 0759756666 au 0655756666, ambapo utaweka order, na utapew order namba. Mfano Mimi nimeweka order, na nikatumiwa order namba yangu.. Na namba ya kutuma pesa ambayo ni ya Tigo pesa.

2. Baada ya hapo unatakiwa kulia gharama ya jezi ambayo ni Tsh. 15750 tu + gharama ya kutuma jezi toka Dar hadi ulipo kama uko nje Dar. Gharama hii hutofautiana kulingana na mahali ulipo. Kwa walio Dar maduka maalumu yapo.. Hivyo ni vyema ukajongea.

3. Baada ya kufanya malipo, ndani ya siku 3 jezi itakua mikononi mwako.

Hii ndo Simba SC nayoijua mimi.

JEZI ZENYEWE NI HIZI HAPA:

View attachment 272698

Shime wana Msimbazi wenzangu, tuzichangamkie hizi jezi ili siku ya Simba Day.. Taifa ipambwe na rangi Nyekundu na Nyeupe.

cc BBA
 
Naona nembo ya mikia sc kwa juu hapo imeshaini fungu la kukosa nyie hamjitambui?????
 
Back
Top Bottom