sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Baada ya Simba SC kuutangazia umma juzi kua kuanzia sasa zile jezi bora kabisa kuwahi kutengenezwa katika ardhi yetu ya Tanzania, unaweza kununua online kupitia mtandao wa https://www.jumia.co.tz/ kuna matatizo kidogo yametokea, na nadhani ni kwa sababu ya kua huu ni mfumo mpya hapa nchini.
Utaratibu wa kununua jezi Online ni huu hapa;
1. Unapiga namba either 0759756666 au 0655756666, ambapo utaweka order, na utapew order namba. Mfano Mimi nimeweka order, na nikatumiwa order namba yangu.. Na namba ya kutuma pesa ambayo ni ya Tigo pesa.
2. Baada ya hapo unatakiwa kulia gharama ya jezi ambayo ni Tsh. 15750 tu + gharama ya kutuma jezi toka Dar hadi ulipo kama uko nje Dar. Gharama hii hutofautiana kulingana na mahali ulipo. Kwa walio Dar maduka maalumu yapo.. Hivyo ni vyema ukajongea.
3. Baada ya kufanya malipo, ndani ya siku 3 jezi itakua mikononi mwako.
Hii ndo Simba SC nayoijua mimi.
JEZI ZENYEWE NI HIZI HAPA:
Shime wana Msimbazi wenzangu, tuzichangamkie hizi jezi ili siku ya Simba Day.. Taifa ipambwe na rangi Nyekundu na Nyeupe.
cc BBA

Last edited by a moderator: