Jinsi ya kununua na kuuza hisa

Jinsi ya kununua na kuuza hisa

Joined
May 8, 2014
Posts
73
Reaction score
10
Habari wanaJF.
Nataka kuingia kwenye biashara ya Hisa, lakini sina ufahamu zaidi kuhusu soko la Hisa. Ningependa kufahamu mimi niliyeoko mkoani nitanunuaje Hisa za DSE na natakiwa kuwa na kiasi gani cha pesa.
Shukran.
 
Back
Top Bottom