Elifuraha Longu Member Joined May 8, 2014 Posts 73 Reaction score 10 Jan 23, 2015 #1 Habari wanaJF. Nataka kuingia kwenye biashara ya Hisa, lakini sina ufahamu zaidi kuhusu soko la Hisa. Ningependa kufahamu mimi niliyeoko mkoani nitanunuaje Hisa za DSE na natakiwa kuwa na kiasi gani cha pesa. Shukran.
Habari wanaJF. Nataka kuingia kwenye biashara ya Hisa, lakini sina ufahamu zaidi kuhusu soko la Hisa. Ningependa kufahamu mimi niliyeoko mkoani nitanunuaje Hisa za DSE na natakiwa kuwa na kiasi gani cha pesa. Shukran.