Jinsi ya kunywa bia

Jinsi ya kunywa bia

Jah bless

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
276
Reaction score
463
First off, mwaga chini kiduchu kuhakiki kama ipo vizuri yaani haijaeksipaya.

Utaona povu.

Piga lesi ndefu ukiwa umebana pumzi, rudisha chupa mezani.

Sikilizia Dk 1 then rudia tena hadi ikate. Anza nyingine.

Ushauri wa bure:
Usibusu busu bia. Matumizi ya glasi ni kupoteza muda na kujieksipozi na majanga.

Mawaidha yanatosha, muda wa vitendo now!

Cheers!
 
Bila shaka unazungumzia bia za Tanzania .
 
Nani kakwambia pombe inaexipe😄😄🤣🤣 kinachoexpire ni material ya kuhifadhia pombe

HUjui fermentation ni kukaribiana na kuoza ambayo ni kama exipired ........
 
images - 2023-12-31T132538.908.jpeg
 
Hiyo kumwaga chini sio kuitest kama haijaexpaya, tunaita kumuonjesha marehemu bibi mzaa babu mlevi.

Eniwei, karibu Heineken mkuu

Shukrani mkuu, mfano umegonga hizo hein 20.. asubuhi unakuaje? Naskia zipo kama juisi ya Apple
 
Back
Top Bottom