ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Unapoitia mdomoni unaiskilizia fleva yake unaivuta kama Kwa sekunde tano mdomoni kisha unaipitisha taratibu katika koo na kuisikilizia Ladha ya kipekee ya mvinyo.
Kwanini tunajiumiza Kwa mabia na mapombe makali wakati kuna kinywaji Safi cha wine hata ukijipatia vi image vyako vitatu vya baridi.
Inasemekana wine inaongeza umri wa kuishi ina historia ndefu haina makemikali na haina madhambi.