Naomba maelezo jinsi ya kuanza mchakato wa kupata vibari vya kusafirisha dagaa kwenda nje ya nchi. Ieleweke wazi kuwa Mimi ni mfanyabiashara mdogo sana hivyo ni vyema kuniongoza kwenye solution yenye kutumia gharama nafuu zaidi. Nilisikia lazima use na store ambayo imesajiliwa na uwe na leseni ambapo mzigo utaupeleka TFDA kukaguliwa ndipo wakupe export permit. Ningependa kupata maelezo ya kina kwa mwenye experience. Nashkuru