Jinsi Ya Kuogelea

Jinsi Ya Kuogelea

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
11,786
Reaction score
18,562
Kuna msichana nimekuwa nikimfuatilia siku nyngi Sana bila mafanikio..... Nimetumia kila Gia lakin nimekuwa nikingonga mwamba..... Sasa leo asbhi asbhi amenipigia simu eti anataka twende beach nikamfundishe kuogelea..... Tatizo mm sijui kuogelea na nshamkubalia maana nataka nikakadinye huko huko ndan ya maji.... Mwenye ujuzi wa kuogelea anipe japo hints tu itapendeza Sana nisije nikasombwa na maji Kwa uchu wa wezere

Ahsanteni!!!!
 
Daaah aiseeh mada zingine bana
 
Chief mnaenda beach ipi?Naweza kuja kuwatrain wewe na manzi wako..
 
Inawezekana ndio maana miili kila leo ilikuwa inaopolewa kule kwenye fukwe za Dar es salaam, ujinga wa hii maada ungekuwa ni reli basi ingekuwa ni ile ya standarg gauge, kama ni bara bara basi ni ile ya kiwango cha lami, tena flyover🙄
 
Mpe kalenda mwambie leo kuna ishu imetokea, halaf we leo timba kigamboni mpaka jioni ushakuwa fundi, nakupa lecture free of chajiiii, halaf kesho nawe unakamata popoma wako unajitia ujuvi..
 
Mpe kalenda mwambie leo kuna ishu imetokea, halaf we leo timba kigamboni mpaka jioni ushakuwa fundi, nakupa lecture free of chajiiii, halaf kesho nawe unakamata popoma wako unajitia ujuvi..
Ahsante mkuu, shida ni kwamba niko upende wa pili wa muungano
 
Nimejikuta nacheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nikajua unatoa mada ya kutufunza kuogelea
 
Back
Top Bottom